Uamuzi wa Busara

Yapo mambo fulani ambayo Kama yasingefanyika ni vigumu kujua historia ya nchi hij ingekuwaje leo hii. Mathalani, kama TANU ingekataa kushiriki katika Uchaguzi wa Kura tatu mwaka 1958, sijui tungekuwa wapi. Hali kadhalika kama Rais Mwalimu Julius K. Nyerere asingeamua kuacria kazi ya ualimu, historia ya ncbi yetu huenda ingekuwa tofauti na ilivyo hivi sasa.

Kupitistiwa kwa Azimio la Arusha, Kuukubali Mwongozo wa Chama, na mengineyo mengi yaliyomo humu Kitabunl ni mkusanyiko ambao Ofisi Kuu imeuita ,uamuzj wa Busara.
Hivyo Kitabu hiki ni cha maana sana kwa historia ya nchi yetu kwani bila Uamuzi uliomo humo Kilabuni. historia yetu isingekuwa kamili.

Yaliyomo
1. Uamuzi Wa Mwalimu Nyerere Kuacha Kazi Ya Ualimu.
2. Tanu Katika Umoja Wa Mataifa (UNO).
3. Kujiuzulu Kwa Mwalimu Nyerere Katika  Baraza La Kutunga  Sheria.
4. Uamuzi Wa Tanu Kukubali Uchaguzi  Wa Kura Tatu Katika Mkutano Mkuu Wa Tabora 1958.
5. Kujiuzulu Kwa Mwalimu Nyerere Katika Uwaziri Mkuu.
6. Kuundwa Kwa Utaratibu Wa Chama Kimoja.
7. Tanganyika Na Unguja Kukubali Kuungana.
8. Tanu Kukubali Azimio La Arusha.
9. Tanu Kukubali Kuupitisha Mwongozo Wa Tanu 1971.