Tanzania Tunakukumbuka Milele Baba wa Taifa

Author, Editor: Michael T. Mwakilasa
Email: mm@mafutasasa.com
Publishers: Sisikazi Economic Empowerment Centre
Paperback: 43 pages
Language: Kiswahili
ISBN: 9987-8898-0-8

Wazo la Kitabu hiki lilikuja baada ya mimi na mwenzangu kutaka kutunza magazeti mengi yaliyokuwa yameandika habari za Baba wa Taifa,kutokea ugonjwa wa Mwalimu mpaka mazishibutiama, kwa ajili ya watoto nawajukuu zetu.Mara tukapata wazo kwamba kwa nini tusikusanye habari na picha wenyewe na kuweza kutoa jarida maalum ambalo watu wengine vilevile wenye kutaka kuweka kumbukumbu wanufaike. Hiki kitabu ni kipande kidogo cha kumuenzi Marehemu baba waTaifa, Mwalimu J.K.Nyerere,misingi na wosia wake vidumu vizazi na vizazi vijavyo